Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya mawakili na wanagenzi waandamana kulalamikia dhulumiwa kingono

  • | Citizen TV
    372 views
    Duration: 2:20
    Baadhi ya mawakili na wanagenzi wa sheria waliandamana jijini nairobi kulalamikia visa vya dhuluma za ngono. Mawakili hao waliotatiza usafiri kwenye barabara ya Gitanga, wanasema kuwa licha ya kuwasilisha malalamishi, hatua dhidi ya mawakili wanaodaiwa kuhusika hazijachukuliwa. LSK imethibitisha kupokea malalamishi na kupendekeza kesi hizo kufuatwa na DCI.