Baadhi ya viongozi wa Azimio kutoka Kajiado wakosoa chama cha ODM kwa kuwatimua wabunge chamani

  • | Citizen TV
    902 views

    Baadhi ya viongozi waliokuwa muungano wa Azimio kabla ya uchaguzi mkuu kutoka eneo la Kajiado wamekosoa hatua ya chama cha ODM kuafikia kuwatimua baadhi ya wabunge walioasi chama hicho. Mbunge wa Kajiado ya Kati Kanchori Memusi akiongoza wanasiasa wa eneo hili kuafiki msimamo wao wa kumuunga mkono Rais William Ruto.