Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza wajitenga na wizi wa kura

  • | Citizen TV
    1,924 views

    Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Kiambu wanaounga mkono serikali wamejitenga na matamshi ya mwakilishi wa kike kaunti ya Wajir, Fatuma Jehow, aliyedai kuwa kuna mipango ya kuiba kura katika uchaguzi wa mwaka 2027 ili kumpa ushindi Rais William Ruto