- 81 viewsDuration: 1:28MKASA WA MOTO GIKOMBA Baadhi ya wabunge kutoka kaunti ya Nairobi sasa wanaitaka serikali ya kaunti ya Nairobi kuwapa fidia waathiriwa wa moto wa Gikomba ambao uliteketeza biashara zao siku ya Jumamosi. Wakiongozwa na mbunge wa Embakasi kaskazini James Gakuya, wabunge hao wanahoji uwezo wa kundi la usimamizi wa majanga la kaunti kwani moto huo ulitokea mita chache kutoka kituo cha zima moto. Watu wawili walifariki huku wengine takriban 17 wakiuguza majeraha. Chanzo cha moto huo hakijabainika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive