17 Jul 2026 10:26 am | Citizen TV 2,802 views Duration: 1:52 Baadhi ya Wanachama wa UDA katika kaunti ya Bungoma waelezea wasiwasi wao kuhusu kile wadaicho ni kudidimia Kwa umaarufu wa chama hicho katika kaunti hiyo .