17 Apr 2026 10:51 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:46 Baada ya kupoteza mifugo wengi kutokana na athari za ukame, kundi moja la kina mama na wazee kutoka eneo la Madogo kaunti ya Tana River limegeukia ufugaji wa kisasa.