Bajeti ya kwanza ya serikali ya Kenya Kwanza ya shilingi trilioni 3.7 yawasilishwa bungeni

  • | KBC Video
    60 views

    Serikali imezindua bajeti ya shilingi trilioni 3.7, sekta ya elimu ikipokea mgao mkubwa zaidi. Shilingi bilioni 628.8 zilizotengewa sekta ya elimu zitatumiwa kuajiri walimu elfu 20 wa sekondari msingi na kujenga madarasa zaidi. Sekta ya miundomsingi imetengewa shilingi bilioni 250 ambapo shilingi bilioni 1.1 zitatumiwa kununua mabasi ya kisasa ya uchukuzi wa abiria. Waziri wa fedha Prof. Njuguna Ndung’u amesema bajeti ya mwaka huu inatilia maanani sekta tano muhimu katika ajenda ya makuzi ya uchumi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #budget2023