Balozi wa Marekani nchini, Meg Whitman azuru kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    672 views

    Balozi wa Marekani nchini, Meg Whitman, amesema kuwa Serikali ya Marekani imewekeza Jumla ya Dola Milioni 80 katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika kaunti ya Kisii.