Skip to main content
Skip to main content

Bara Afrika laadhimisha siku ya mtoto wa Kiafrika

  • | KBC Video
    726 views
    Duration: 2:35
    Siku ya mtoto wa Kiafrika iliadhimishwa kwa wito wa pamoja uliotolewa ya kuzuia vifo vya watoto hususan vinavyotokana na uchafu. Maadhimisho ya kitaifa yaliyoandaliwa katika kaunti ya Homa Bay yalitawaliwa na mito ya kuimarisha upatikanaji wa maji, usafi wa mazingira na usafi binafsi wa watoto. Yanafuata maeleo zaidi kuhusu maadhimisho hayo ya siku ya mtoto wa kiafrika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive