Barabara Mahututi Taswira ya Barabara ya Sikata kuelekea Kimilili kupitia Bokoli (Part 1)

  • | West TV
    141 views
    Serikali ya kitaifa kupitia mamlaka ya kukarabati barabara za vijijini (KERRA) imehimizwa kukamilisha ukarabati wa barabara kuu ya kimilili - bokoli - sikata kurahisisha shughuli za uchukuzi. NI takriban miaka mitatu tangu mwanakandarasi kuachia njiani kazi hiyo swala linalolemaza usafiri.