Gavana Ole Lenku awataka wakazi kujisajili kwenye bima ya SHA

  • | Citizen TV
    69 views

    Gavana wa Kaunti ya Kajiado, Joseph ole Lenku, amewataka wakazi wa kaunti hiyo kujisajili kwa bima ya afya ili waweze kupata huduma bora za matibabu