Serikali ya kaunti yaandaa kambi za muda kuhudumia raia

  • | Citizen TV
    76 views

    Wakazi wa kaunti ya Samburu bado wanalazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka matibabu,hali ambayo imeshinikiza idara ya afya kaunti hiyo kuanzisha mpango matibabu tamba kwa kuandaa kambi za muda za matibabu ili kuwahudumia wakazi mashinani wasio na uwezo wa kusaka matibabu hospitalini