Barabara Mahututi Taswira ya Barabara ya Sikata kuelekea Kimilili kupitia Bokoli (Part 2)

  • | West TV
    181 views
    Katika awamu ya pili na ya mwisho ya makala barabara mahututiwawakilishi wadi kutoka eneo bunge la kimilili na kabuchai wametaka serikali kuu kuingilia kati kuhakikisha barabara ya kimilili - bokoli - sikata inakarabatiwa kurahisisha usafiri.