Barabara ya Nairobi expressway hatimaye yafunguliwa

  • | KBC Video
    28 views

    Barabara iliyogharimu shilingi bilioni 70 ya Nairobi expressway hatimaye imefunguliwa kwa uma. Barabara hiyo ya kifahari ilifunguliwa leo asubuhi na waziri wa uchukuzi James Macharia ambaye aliwapongeza wahandisi kwa kazi nzuri iliyokamilika mwaka mmoja kabla ya tarehe iliyolengwa kukamilika kwa ujenzi wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #Nairobiexpressway