- 84 viewsDuration: 2:33Baraza la Magavana limewataka wauguzi waliogoma kurejea kazini huku mazungumzo ya kutafuta muafaka yakiendelea. Hata hivyo, agizo hilo limepuuzwa na chama cha wauguzi na wakunga nchini ambao wanasema katu hawatalegeza kamba hadi mkataba wa maelewano kutekelezwa, mazingira ya kazi kuimarishwa na waliohitimu kupandishwa vyeo