Baraza la mawaziri latoa hakikisho ya bei ya chini ya unga

  • | Citizen TV
    5,969 views

    Siku tano baada ya Rais William Ruto kuahidi kuwa bei ya unga itashuka baada ya kuwasili kwa mahindi yaliyoagizwa kutoka nje ya nchi, bado unga unauzwa kwa zaidi ya shilingi mia mbili kama ilivyokuwa. Licha ya aina mbili za unga wa nafuu uliopatikana madukani na waandishi wetu, maduka mengi hali haijabadilika. Haya yanajiri mkutano wa baraza la mawaziri ukishikilia ahadi yake ya kupungua kwa bei ya bidhaa muhimu nchini,