- 349 viewsDuration: 1:39Rais William Ruto amesema kuwa ujenzi wa Nyumba za bei nafuu si nyumba tu; bali unahusu heshima ya watu, kazi na biashara, miongoni mwa mambo mengine mengi zaidi. Rais alikuwa akizungumza kwenye kikao cha baraza la miji ya afrika kilichofanyika katika hoteli moja hapa jijini Nairobi.