Baraza la Seneti la Marekani lapitisha mswaada wa uzalishaji microchip

  • | VOA Swahili
    438 views
    Baada ya mwaka mmoja Baraza la Seneti limepitisha mswaada wa kuhamasisha uzalishaji wa vipuli aina ya microchip vinavyotumika katika uzalishaji viwandani ambapo itafufua ari ya uvumbuzi na ugunduzi katika teknolojia nchini Marekani. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.