Bastola iliyotumiwa kumuua aliyeuwa mbunge wa Kasipul Ong’ondo Were yapatikana Kayole

  • | TV 47
    284 views

    Bastola iliyotumiwa kumuua Mbunge Ong’ondo Were yapatikana Kayole.

    Ripoti ya uchunguzi wa risasi yaonyesha bastola aina ya Sarsilmaz ilihusika.

    Washukiwa wawili wakamatwa wakiwa na silaha mbili.

    Polisi walipata begi na viatu vinavyofanana na mavazi ya mshukiwa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __