BBC MITIKASI LEO 04.08.2022

  • | BBC Swahili
    1,364 views
    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir anatarajiwa kutangaza kuongezwa kwa muda wa serikali ya mpito. Aidha tunaangazia hatua zinazohitajika ili kukuza sekta ya filamu asilia barani Afrika. Na Peter Mwangangi. #SalvaKiir #SudanKusini #PeterMwangangi