BBC MITIKASI LEO 15.11.2022

  • | BBC Swahili
    3,691 views
    Umoja wa Mataifa unasema kwamba idadi ya watu duniani imefikia bilioni 8! Aidha Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta atua Goma, Mashariki mwa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) na kuongea na baadhi ya wakimbizi wa vita.