Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    11,426 views
    Duration: 2:12
    Msanii mkongwe wa Bongo Felva David Celestine Nyika maarufu Daz Baba ambaye alitamba na vibao kama nipe tano, elimu dunia na vingine vingi amewasihii wasanii hasa chipukizi kufanya vitu kwa kiasa hasa matumizi ya vilevi Daz Baba ambaye kwa sasa hasikiki sana kama ilivyokuwa zamani ameanzisha taasisi yake binafsi inayojihusisha na muziki na uhifadhi wa mazingira Mwandishi wa BBC @eagansalla aliongea naye wakati wa kambi maalumu ya wasanii wa zamani kushrehekea miaka 30 ya Bongo fleva jijini Dar es salaam tamasha ambalo linatarajia tena kufanyika Jijini Mwanza siku za hivi karibuni. - - #bbcswahili #foryou #wasanii #muziki #bongofleva #fypシ゚viral Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw