Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    30,910 views
    Duration: 1:10
    Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua mkondo mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha shtaka lake na kumfungulia kesi ya ugaidi, kwa mujibu wa gazeti la The Citizen. Bw. Kaijage amekuwa akishikiliwa na polisi tangu Julai 8, 2026, baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchochea maandamano ya umma, kosa ambalo awali halikuruhusu dhamana. @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #tanzania #udom Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw