Bei ya petroli yapungua kwa shilingi moja. Bei hizo mpya zinaanza kutekelezwa leo.

  • | KBC Video
    9 views

    Bei ya petroli yapungua kwa shilingi moja baada ya halmashauri ya kudhibiti kawi kutangaza bei mpya zitakazotumika katika kipindi cha mwezi mmoja ujao. Bei hizo mpya zinaanza kutekelezwa leo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #KurunziMashinani #WorldCupIkoKBC