Skip to main content
Skip to main content

Belio apuuza madai ya utoaji vitambulisho kwa raia wa kigeni

  • | KBC Video
    148 views
    Duration: 1:56
    Idara ya uhamiaji na huduma kwa raia imekanusha ripoti kwamba raia wa kigeni kutoka nchi jirani wanapewa vitambulisho vya kitaifa vya Kenya kwa njia isiyo halali. Katibu Belio Kipsang, akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uhusiano wa kikanda, alisisitiza kwamba wageni wanapewa vitambulisho vya wageni huku wakimbizi wakipewa vitambulisho vya wakimbizi. Wabunge pia wamelezea wasiwasi kuhusu idadi kubwa ya vitambulisho ambavyo havijachukuliwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive