Benki ya Kingdom yafungua tawi Kitale

  • | KBC Video
    3 views

    Benki ya Kingdom imefungua tawi lake la 21 mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia kama sehemu ya mpango wake wa upanuzi unaonuiwa kuimarisha utoaji huduma za kifedha na kupiga jeki makuzi ya uchumi.Mkurugenzi wa benki ya Kingdom, Julius Sitienei amesema benki hiyo itaangazia zaidi huduma kwa wajasiriamali, wanaojihusisha na kilimo biashara na wakulima wenye mashamba makubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive