Bethel Network limezindua mradi unaolenga wasichana wataweza kuhudhuria masomo wakati wa hedhi

  • | KBC Video
    40 views

    Shirika lisilo la serikali, Bethel Network limezindua mradi unaolenga kuhakikisha wasichana wataweza kuhudhuria masomo wakati wa hedhi. Kwa mujibu wa shirika hilo, utafiti umebainisha kwamba baadhi ya wasichana hukosa kwenda shule kwa siku tatu au nne kila mwezi ambazo ni takriban wiki mbili kwa kila muhula kutokana na changamoto za hedhi. Shirika hilo linalolenga kuwasaidia wasichana wapatao laki moja linasema tatizo hilo linaweza kutatuliwa na utoaji sodo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News