- 100 viewsDuration: 2:37Kenya imesifu hatua ya marekani ya kuongeza muda wa utekelezaji wa mpango wa AGOA kwa miaka mitatu kufuatia kupitishwa kwa mswada na bunge la waakilishi nchini humo. Waziri wa biashara na viwanda Lee Kinyanjui alisema kuwa hatua hiyo itaondoa wasiwasi uliokuwepo na kuimarisha imani na ukuaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive