Wataalamu wa sekta ya ujenzi wanapendekeza matumizi ya teknolojia kama vile Akili Mnemba, deta madhubuti na ushirikiano kama nguzo za kuendeleza sekta hiyo humu nchini. Afisa mkuu mtendaji wa bodi ya wakadiriaji na wasanifu mijengo, Mwongera Rukaria, amesema taifa hili lina wataalamu waliohitimu na kuidhinishwa ambao wanaweza kutekeleza miradi muhimu ya ujenzi ndani na nje ya taifa hili. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive