Skip to main content
Skip to main content

Bibi harusi apandishwa Trekta Gaza

  • | BBC Swahili
    25,855 views
    Duration: 1:01
    Wanandoa hawa katika mji wa Gaza walitumia usafiri wa kipekee kwenda kwenye harusi yao, trekta. Tukio hilo lilifanyika katika eneo la Sheikh Radwan huko Gaza. Kwa kawaida, watu wa Gaza humsindikiza bibi harusi kutoka nyumbani kwake hadi ukumbini kwa msafara wa magari. #bbcswahili #sherehe #harusigaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw