Skip to main content
Skip to main content

Bima maalum ya afya yazinduliwa kwa maafisa wa polisi na familia zao

  • | Citizen TV
    788 views
    Duration: 3:17
    Bima maalum ya Afya itakayowasimamia jumla ya maafisa 138,000 wa idara ya Polisi na familia zao imezinduliwa. Waziri wa Afya Aden Duale na mwenzake wa Usalama Kipchumba Murkomen waliohudhuria uzinduzi huo wamepuuza adai kuwa SHA itasambaratika hivi karibuni kama ilivyodaiwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua