Bingwa wa dunia wa marathoni Kelvin Kiptum azikwa

  • | Citizen TV
    4,877 views

    Rais William Ruto aliwaongoza wakenya kumpa mkono wa buriani bingwa wa dunia wa marathon Kelvin Kiptum ambaye amezikwa nyumbani kwake kaunti ya Uasin Gishu. Rais Ruto alimtaja Kiptum kama mkenya aliyejitolea kuweka taifa lake kwenye ngazi ya kimataifa huku mjane Asenath Rotich akimtaja mumewe kama baba aliyejali familia yake wakati wote.