19 Apr 2026 8:46 pm | Citizen TV 3,345 views Duration: 1:25 Mwanamke wa miaka 34 a anauguza majeraha baada ya kuwamgiwa tindikali na wanaume wawili waliokuwa kwenye pikipiki eneo la nyalenda kaunti ya kisumu.