Skip to main content
Skip to main content

Binti wa Kim Ju Ae akiendesha kifaru

  • | BBC Swahili
    31,576 views
    Duration: 42s
    Tazama video inayomuonesha Kim Ju Ae ,binti wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, inayomuonesha akiendesha kifaru wakati wa mazoezi ya kijeshi huku baba yake akiwa naye. Mbali na tukio hilo, Kim Ju Ae ameonekana akishiriki mara kwa mara kwenye hafla za kijeshi na za serikali katika miezi ya hivi karibuni, ikiwa ni pamoja na katika majaribio ya silaha za jeshi. Kutokana na mfululizo wa matukio ya namb hiyo, kumekuwa na uvumi kwamba anaweza kuwa akipewa mafunzo kwa ajili ya kuchukua jukumu la uongozi siku za usoni, ingawa serikali ya Korea Kaskazini haijathibitisha rasmi habari hizo: - - #bbcswahili #koreakaskazini #uongozi #fyp #foryoü Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw