Bintiye Raila Odinga asema uchaguzi mkuu uliopita uliingiliwa

  • | Citizen TV
    5,091 views

    Alikuwa kiungo muhimu katika kampeni za babake . Kulingana naye, kampeni hizo ziliendeshwa vyema lakini uchaguzi mkuu uliingiliwa. Tunamzungumzia Winnie Odinga , bintiye kinara wa Azimio One Kenya Raila Amollo Odinga. Tunakuletea kwa kifupi sehemu ya mahojiano yatakayokujia kwa kina katika taarifa zetu za saa tatu usiku huu.