Blinken atembelea kambi ya jeshi Ukraine kutathmini maendeleo ya mashambulizi yao dhidi ya Russia

  • | VOA Swahili
    331 views
    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake Alhamisi nchini Ukraine ametembelea kambi ya jeshi ili kutathmini maendeleo ya mashambulizi ya Ukraine kuurudisha nyuma uvamizi wa Russia. Jana jumatano mwanadiplomasia huyo mkuu wa Marekani alitangaza msaada mpya wa dola bilioni moja kwa ajili ya Ukraine. #waziri #mamboyanje #antonyblinken #ukraine #kambiyajeshi #voaswahili #voa #dunianileo #mwanadiplomasia #marekani - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.