Bodi mpya ya KeMSA yazinduliwa rasmi na waziri wa Afya Susan Nakhumicha

  • | Citizen TV
    518 views

    Bodi mpya ya KeMSA imezinduliwa rasmi hii leo na waziri wa Afya Susan Nakhumicha huku waziri akielekeza kuwa wafanyikazi wote wa KeMSA ambao wamekuwa wakifanya kazi nyumbani kurejea afisini hapo kesho. haya yanajiri huku waziri nakhu,icha akisisitiza kuwa uozo ulioko kemsa na katika wizara ya afya utaondolewa.