Bodi ya Kudhibiti Michezo ya kamari yahamasisha Umma

  • | Citizen TV
    206 views

    Bodi ya kudhibiti na kutoa leseni ya michezo ya kamari nchini BCLB, inaendelea kuhamasisha umma kuhusu madhara ya kucheza kamari kiholela. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo iliyofanyika hapa jijini Nairobi,