Boniface Kariuki, mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi wakati wa maandamano, kuzikwa Julai 11

  • | NTV Video
    1,436 views

    Boniface Kariuki, mchuuzi wa barakoa mwenye umri wa miaka 27, aliyepigwa risasi kwa karibu wakati wa maandamano jijini Nairobi wiki mbili zilizopita, atazikwa siku ya Ijumaa, tarehe 11 Julai nyumbani kwa wazazi wake katika kaunti ya Murang’a.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya