Boniface Mwangi na Agather : "Walitutendea maovu ili kutunyamazisha"

  • | BBC Swahili
    9,112 views
    "Walitutendea maovu kwa nia ya kutunyamazisha. Inauma sana na mwili unauchungu lakini tunataka kuishtaki serikali ya Tanzania kwa uovu waliotutendea” - Wanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na mwenzake kutoka nchini Uganda Agatha Atuhaire. Hadi muda huu tunapochapisha habari hii BBC imekuwa ikitafuta maoni ya serikali ya Kenya na ile ya Tanzania bila mafanikio. Tunaendelea na juhudi zetu. #bbcswahili #kenya #uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw