Bunge la kaunti ya Kisii kujadili orodha ya mawaziri walioteuliwa

  • | Citizen TV
    242 views

    Bunge la kaunti ya Kisii linatarajiwa kufanya vikao vyake alasiri ili kuidhinisha orodha ya mawaziri walioteuliwa na gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati. Baadaye mawaziri hao wataapishwa alasiri na kuanza kazi rasmi. Gavana wa Kisii aliwateua watu 10