Bunge la kitaifa kujadili mswada wa fedha 2023 Alasiri ya leo

  • | Citizen TV
    193 views

    Mzozo wa mswada wa fedha wa mwaka 2023 unatarajiwa kuendelea bungeni alasiri ya leo, pale wabunge watakuwa wakijadili mswada huu ulioibua utata. Wabunge wataufanyia marekebisho mswada huu kabla ya kupigiwa kura baadaye.Miongoni mwa marekebisho yanayopendekezwa ni kwa ushuru wa asilimia 16 wa bidhaa za mafuta pamoja na ushuru wa asilimia 1.5 kwa nyumba za nafuu.Tofauti zimeendelea kati ya wabunge wa Kenya Kwanza wanaoshikilia kuwa watuunga mkono mswada huu na wale wa upinzani waliosisitiza kuwa wataupinga.