- 363 viewsDuration: 3:18Wazee wa jamii ya Wasamburuu hutoa mwelekeo wa jamii na kutatua mizozo kupitia vikao vya bunge lao linalojulikana kama "Napoo" . wazee hao hukokangamana katika eneo maalum ambako wanawake hawaruhusiwi ili kuzungumzia maswala yanayosibu jamii hiyo na kuafikia suluhu kwa pamoja.