Skip to main content
Skip to main content

Bunge la Machakos limemshtumu Wavinya Ndeti kwa kusababisha vurugu kuhusiana na bajeti

  • | NTV Video
    3,113 views
    Duration: 1:40
    Bunge la Kaunti ya Machakos limemkashifu Gavana Wavinya Ndeti, likimshtumu kwa kukiuka sheria za Bunge kwa kuingia na kusababisha vurugu katika maeneo ya Bunge kuhusiana na bajeti ya kaunti hio ya mwaka wa kifedha 2026/2027. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya