- 18,094 viewsDuration: 1:49Wajumbe wa Bunge la Ulaya wamepitisha azimio linalolitaka Tume ya Ulaya kuondoa pendekezo lake la mfuko wa ufadhili wa euro milioni 156 kwa Tanzania, wakitoa sababu za wasiwasi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kudhoofika kwa demokrasia. #bbcswahili #tanzaniatiktok #bungelaulaya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw