Burkina Faso: Vijana wahamasisha amani, umoja na ustahmilivu kati ya Waislam na Wakristo

  • | VOA Swahili
    50 views
    Juhudi zinazofanywa na kundi la Vijana nchini Burkina Faso wanahamasisha amani, umoja na ustahmilivu kati ya Waislamu na Wakristo wakati wa kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan na Pasaka. Lamina Traore anaripoti kutoka Ouagadougou. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili. #voa #voaswahili #vijana #burkinafaso #amani #umoja #ustahmilivu