Bwawa la Maragua 4 kupunguza uhaba wa maji Murang'a ingali katika harakati za kukamilika

  • | Citizen TV
    467 views

    Bwawa la Maragua-4 lililopendekezwa na serikali kusambaza maji maeneo ya Murang'a yalio na uhaba wa maji ingali katika harakati za kukamilika.