Je, ungethubutu kuchukua mkopo wa shilingi milioni 100 sio kwa ajili ya biashara ya faida kubwa, bali kuokoa maisha ya watu?
Hii ndiyo safari ya Dkt. Catherine Nyongesa—mwanamke wa kwanza nchini Kenya kuwa daktari bingwa wa saratani, aliyetumia msukumo wa dada yake, aliyeteseka kwa kukosa matibabu, kujenga kituo kinachotoa tumaini kwa maelfu ya wagojwa.
Mwandishi wa BBC @i_am_isabella_kituri amezungumza naye
#bbcswahili #kenya #waridi wa BBC
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw