CDC yatahadharisha ongezeko la maambukizi ya COVID-19 Kaunti kadhaa za Marekani

  • | VOA Swahili
    3,098 views
    Kaunti kadhaa ambazo zinafikiria ziko katika hatari ya juu ya usambazaji wa COVID-19 zimeongezeka mara tatu katika muda wa wiki mbili zilizopita kwa mujibu wa CDC hapa Marekani. .- Huko New York kiwango cha tahadhari cha COVID kimepandishwa na kuwa juu zaidi na kesi zimeongezeka mara dufu mwezi uliopita - Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa Sweden na Finland Alhamisi baada ya nchi hizo kuweka kando msimamo wao wa muda mrefu wa kutoegemea upande wowote na kutaka kujiunga na umoja wa NATO. - Marekani yafungua ubalozi wake Kyiv, wafanyakazi washuhudia bendera ikipandishwa. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.