- 79,524 viewsDuration: 59sChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuepusha nchi kuingia kwenye machafuko, kikitaka walioua raia wawajibishwe, pamoja na wale walioagiza watu kupigwa risasi. Pia kimeitaka serikali kuondoa kesi za kisiasa. Akizungumza juu ya malalamiko hayo @johnheche amesisitiza kuwa hakuna taifa la nje lililochochea hali hiyo ingawa Serikali ya Tanzania imekuwa ikikanusha kuhusika na matukio ya utekaji. #bbcswahili #tanzania #siasa #uchaguzi2025 #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw